• This is the home page widget area. You can use this space to add an introductory message to your blog with a Text Widget or add any other widget here.

ChakaChua!

HABARILEO JULAI 19

babatau clothing line

Ni mwezi mwingine tena wadau tunaendelea kutupia kama kawa! Tuendelee kuwasiliana kama unapenda kujiunga katika familia yetu kwa kutoka na pamba za babatau

Duka lipo wazi 24/7

Mambo ya kutupia kama kawa wadau, duka lipo wazi kwa ajili yenu!!

babatau clothing line

Jipatie Tshirts bomba na vitop vya ukweli kwa akina dada! usiulize bei…..

babatau clothing line

Haya tena wadau kazi kwenu! mambo ya kutupia ndo kama hivo kwa bei poa tu tunapendeza!

usituchukulie poa!

KAMA unavyoona mwenyewe, sikuwa around kuwa update but kuna mambo bado nayaweka sawa yakitulia natumaini utafurahia, tuko jikoni tunapika mambo yakiiva tutakuwa pamoja all the time so stay toooooned!

babatau clothing line!

Babatau inatoka na lebo yake mpya kupitia katuni ya babatau ambayo imeanza kupatikana katika T-shirts za rangi mbalimbali! Haya wadau kazi kwenu katika kuiunga mkono na ku support kazi za nyumbani!

Quality iko vizuri…

Bei pia imezingatia watu wa kawaida kabisa ¬†ambao ndio wadau wa babatau, hivyo msiogope! tuwasiliane…

popote ulipo tunakufikia!

Kutoka mitaa ya Obey, masaki, upanga, Kino, tmk, ilala mpaka manzese wote mnavaa!

Kipo madukani!!

Frederic Gerniers (Belgium): Has lived in Tanzania for many years. He has always dreamed of producing a comic book about Tanzania. It all became possible when he met with David Chikoko. David Chikoko (Tanzania): Professional Tanzanian cartoonist. Has illustrated a lot of publications and done many short comics. He is the guy behind Gwiji and … Continue reading