babatau clothing line

Ni mwezi mwingine tena wadau tunaendelea kutupia kama kawa! Tuendelee kuwasiliana kama unapenda kujiunga katika familia yetu kwa kutoka na pamba za babatau

Comments
3 Responses to “babatau clothing line”
  1. Nehemia Mukunzi says:

    Mkuu kanzi nzuri sana. Ila hujasema duka liko wapi maana nataka kuja kukuunga mkono kwa kununua vifaa hivyo.

  2. katunda says:

    Hongera sana bwana mdogo juhudi zako zinaonekana .. just keep up
    its me your bro USA

Leave a reply to katunda Cancel reply